Sa leo nikipitia contacts zenye ziko kwa simu ya mamangu nikaona moja imeandikwa "failed abortion" nikapiga iyo number simu yangu ikaanza kulia...sitaki kufikiria sana nauza simu
So leo nimeingia bafu nikakaa for 15 minutes...dakika kumi nilikua nafikiria kama nioge alf izo zingine tano nikaoga miguu na nikaosha slippers nikatoka bafu